Natafuta kazi

Description

Habari. mimi naitwa Penina, nina umri wa miaka 24 , kiwango changu cha elimu ni kidato cha nne, naishi mkoa wa dar es salaam wilaya ya temeke. Nina uzoefu wa miaka miwili kuuza duka la vyakula niliupata kupitia dada yangu alikua anauzaa duka kwaiyo mm ndo nilikua muuzaji licha hiyo mm ni mzoefu wa kuuza duka la dawa muhimu za binadamu yahani phamacy napia mimi nakauli nzuri kwa wateja sababu napenda kazi izo ukiniweka kwenye nafasi yoyote naweza