Natafuta kazi

Description

Naitwa Leah, kutoka Dar es Salam, natafuta kazi yeyote kama kufanya usafi maofisini au kwenye supermarket kuuza, elimu nlifika form 4, umri wangu 25.
Nilishawahi kufanya kazi ya research I mean kukusanya takwimu .