Natafuta kazi

Description

Naitwa Maryam Salum Abdalla, Nina Miaka 23, Elimu Yangu Ni Certificate Of Humman Resources Management Katika Institute Of Public Adminstration, Nipo Diploma Nmemalza Mwaka Mwanzo Ila Kutokana Na Uwezo Kuwa Mdogo Wa Kifedha Nimesitisha Masomo Yangu Kwaio Natafuta Kazi Ili Nipate Fedha Nijiendeleze Elimu Yangu,