Natafuta kazi

Description

Helow sir/madam,
Mim naitwa jackline stanslaus.ni msichana mwenye miaka 24,nina elimu ya kidato cha nne na certificate ya information technology pia nimesoma computer application na german language.
Naomba nafasi ya kazi. Kwenye campuny yako.nikipata nitashukuru sana.
Asante.