Natafuta kazi

Description

Mimi ni kijana mtanzania mwenye elimu ya kidato ch nne ni mzaliwa wa tanzania na pia nina elimu ya kompyuta na nimesomea tourism management hivyo najua jinsi ya kutoa good customer care na kumfanya mteja awe na furaha ya kurudi kupata bidhha tena