Natafuta kazi

Description

Naitwa Sharifa, nipo Arusha, natafuta kazi. Nina miaka 24. nimemfanya kazi ya hotel miaka miwili Ango hotel na na nmefanya section ya kitchen, houskeeping na waitress.ahsante