Natafut kazi nina elimu ya kidato cha nne

Description

Kwa jina naitwa Rosemary, naishi kimara, nina umri wa miaka 20 na nilishawai kufanya kazi sheri pale mwenge. Mie natafuta kazi duka lolote.