Natafta kazi ya kuuza dukani

Description

Natafuta kazi ya kuuza dukani, naumri wa miaka 18, nimemaliza form 4 mwaka huu. Naishi Mbezi. Asante.