Napenda kuunganishwa katika tasisi za sanaa

Description

Naitwa samwel Tibiita. Nina umri wa miaka 25. Nimeitimu kidato cha nne. Nimejili katika kazi ya sanaa ya ufundi (fine art) nilijifunzia shuleni kipindi bado na soma. Kwa sasa nina miaka 2 nikifanya kazi hii, nimeprinti sale za wanafunzi, mabango, na ramani. Napatika kagera wilaya ya kyerwa.