Naomba kazi ya udereva

Description

Mimi Frank lyelu naomba kazi ya udereva, umri wangu miaka 26 naishi mkoa wa iringa mjini elimu yangu kidato cha nne: ninauzeefu mkubwa wa kuendesha magari madogo na makubwa kwa barabara zote