Naomba kazi ya kuuza duka la aina yoyote.

Description

Naitwa Paul Sililo nipo Mwanza, naomba kazi ya kuuza duka la aina yoyote.
Nina umri wa miaka 21, elimu nilifika kidato cha nine, nimesha wahi kuuza duka la vifaa vya umeme mwaka mmoja