Nahitaji kazi ambayo itaniwezesha kujiendesha

Description

Naitwa Cyprian, nmemaliza kidato cha nne mwaka 2015 nikaendelea na kidato cha 5 na 6 ila sikufanikiwa kuendelea. Nilikua naomba kazi ambayo itaweza kuendesha maisha yangu. Nilisoma course ya computer nilipomaliza kidato cha nne, mwaka uliofuata nikaendelea na form 5 nikasoma mpaka form 6 ila sijafanikiwa kuendelea. Nipo, nakaa kimara stop over. Nahitaji kazi ambayo itaniwezesha kujiendesha na maisha yangu