mafundi umeme/kikundi cha veta

Description

je una jengo la ghorofa na unahitaji kusukiwa umeme/wiring..sisi ni kikundi cha mafundi umeme tupo veta..tutakufanyia wiring kwa bei nafuu ..ghorofa moja hadi mbili sh milioni 2 tu...ghorofa tatu hadi tano ni sh milion 5 tu....ghorofa sita hadi nane sh milioni saba tu....pia na nyumba za kawaida tunafanya wiring ..bei huanzia laki 2 hadi 5 .....tutakufuata popote dsm,pwani na mikoani