Iooking for a job of bar man/restaurant supervisor

Description

Hello I am looking for a post of bar man or restaurant supervisor
Naitwa Juma, naishi Zanzibar mjini mtaa wa kikwajuni. Nina umri wa miaka 31. Elimu Yangu ni kidato cha nne pia nimesomea chuo cha hotel management mwaka mmoja, nimefanya kazi za hotel tofauti 5star hotel, nina uzowefu zaidi ya miaka mitato katika sector ya hotel ninauzowefu wa barman supervision zaidi ya miaka mitatu, zoefu huu nimeupata katika hotel ya peacock iliyopo Dar, pia nina uzoefu wa restaurant supervision zaidi ya miaka mnne, kwa ujumla nina uzoefu wa kutosha