ukiniunganisha na mteja nitakulipa

Description

mimi ni fundi wiring/umeme/nasuka umeme wa majumbani ,popote pale naenda kufanya kazi ,mtu yeyote akiniunganisha na mteja nitamlipa kiasi cha sh 70,000 na kuendelea...pia nafunga waterpumps,ac/air condition,,mashine za kuchana mbao,kusaga,kukoboa nk