pata ramani ya nyumba tutakusetia msingi bure

Description

tunachora ramani za nyumba za kila aina ,pia ukinunua ramani kwetu tutakusaidia ku set msingi bure/kuset siyo kujenga/yaani kuweka vipimo sawa/sahihi ili wachimbaji na wajenzi wa msingi waendelee...bei zetu za ramani ni nafuu sana..na tutakufuata popote dsm,pwani na hata mikoani