Nachora ramani za nyumba na kufanya mahesabu

Description

Nachora ramani za nyumba na kufanya mahesabu ya bati,mbao,tiles,tofali nk..bei zangu ni nafuu sana…napatikana kigamboni,kinondoni na ubungo.