Nachora ramani za nyumba

Description

Nachora ramani za nyumba za kila aina na kukufanyia mahesabu ya vifaa vya ujenzi ambavyo unatakiwa kununua kwa mfano tofali,bati,tiles nk..nitakufuata popote dsm na pwani,pia huwa na design websites,databases,na uandishi wa proposals/business plans..bei zangu ni nafuu ...niite nitakufikia ulipo