CHRIS LIFE CLEANING

Description

CHRIS LIFE CLEANING. Wanapatikana kijwangwani Posta Zanzibar.

Tunahusina na wa mazingira kwa ujumla, usafi wa nyumba, ofise, hospitali, hotel, dispensary, college, school, majengo, ghala na nk

CHRIS LIFE CLEANING. imesajiliwa na seriksli ys mspinduzi zanzibar, pamoja na TRA na ZRB
Tuna wafanyakazi wenye uzoefu, wachapakazi, waaminifu na hodari waliosajiliwa kwa alama za vidole (finger print)

PO BOX 1853 ZANZIBAR

OUR MOTTO: Tunahakikisha kuweka mazingira bora, safi na salama zaidi kwa kiwango cha juu kabisa

Jina: Chrispin Elias